Genesis 4:1

Kaini Na Habili

1 aAdamu akakutana kimwili na mkewe Hawa, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Hawa akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.”
Copyright information for SwhKC